Benki ya maendeleo ya Afrika imeonya mataifa ya Afrika dhidi ya kuchukua mikopo kwa kutumia mali asili kama dhamana, benki hiyo ikisema kuwa hatua hii imekuw ana athari kwa uchumi wa mataifa ya Afrika.

Unadhani mataifa ya Afrika yanaweza kujiendeleza bila mikopo?

 

Haya hapa baadhi ya maoni yako.