Jamii360 Podcast artwork

Jamii360 Podcast

3 episodes - English - Latest episode: about 6 years ago -

Jamii360 Podcast ni uwanja wa kulonga, kuchambua na kujadili masuala ya kijamii na kitamaduni, na athari zake katika jitihada za maendeleo ya jamii zetu kwenye zama hizi za utandawazi.

Jamii360 Podcast - a podcast and blog gives a chat, analysis and discussion on social and cultural issues and their influence on the development of societies (mainly East African/Tanzania) in the globalization era.

Society & Culture Government jamii jamii360 tanzania east africa maendeleo afrika ujasiriamali mjasiriamali kijana
Homepage Apple Podcasts Google Podcasts Overcast Castro Pocket Casts RSS feed

Episodes

Episode 3: Majipu ya Magu – Utamaduni wa ‘Punda haendi bila kiboko’ na athari zake katika maendeleo

March 12, 2018 13:37 - 5.55 MB

Punda haendi bila kiboko: Uhusiano baina ya adhabu ya viboko shuleni na nidhamu ya kubeba majukumu pamoja na ufanisi katika utendaji kazi ukubwani. Nini chanzo cha utendaji mbovu wa wafanyakazi serekalini na kwingineko? Je, ni kwa kiasi gani adhabu ya kiboko humfunza mtoto katika malezi? Sikiliza sehemu hii ya tatu uyajue hayo.   https://archive.org/download/Episode3_20180312/Episode%20%233.mp3

Episode 1: Podcast ni nini?

January 24, 2018 16:48 - 2.36 MB

Ijue Podcast na Daffason.

Episode 2: Mimba za utotoni: Miiko ya kuongelea ngono na balehe na changamoto zake kijamii

January 24, 2018 16:04 - 7.26 MB

Episode hii ya pili inazungumzia Mimba za utotoni. Mimba za utotoni ni swala tata kwenye jamii nyingi. Hali ikoje nchini Tanzania na duniani kwa ujumla? Mimba za utotoni zina uhusiano gani na balehe? Nini ni visababishi vya mimba za utotoni katika zama hizi? je, tuendelee na miiko ya kutokuongelea ngono hata kwa nia ya kuwanusuru... Continue Reading →